Today Marioo has brought us his new music audio go by the name of My Life
Lyrics
Wanasemaga nabii akubariki kwao (kwao) Hatari walikuwepo wakunipa kitaani Walisemaga wahenga eti mtu kwao (kwao) Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani Toka home mpaka studio kwa mguu Viwalo vipya kutupia skukuu Nguo mbaya imepauka kuukuu Kula yangu anaijua alie juu Mungu akunyimi vyote Akikupa kilema atakupa na mwendo Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo Never neve never Never give up Never never never Never give up Never never never Never give up Never never never Never give up Ilikua kama movie ila tunaishi kwa love Wanaotukwamishaga tunaona kama changamoto Leo imekua kama movie tunaishi kwa love Tunalipia na kila zaga ujana maji ya moyo Asante sana kwakunifanya superstar Leo najulikana kila kona ya mtaa Asante mama mwanao kipenzi cha watu Napendwa sana kona zote za mtaa Mungu akunyimi vyote Akikupa kilema atakupa na mwendo Sawa sijasoma kanipa kipaji ntimize malengo Never neve never Never give up Never never never Never give up Never never never Never give up Never never never Never give up
You can listen the song bellow and leave your comment
New Audio | Marioo - My Life | Mp4 Download
No comments:
Post a Comment
elewatu2020@gmail.com